Ruka hadi kwenye maudhui makuu

my say 2 u

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

VISA NA MAFUNZO, Nilipoanza safari ya kukuandikia wewe msomaji,nilivuta picha ya jambo ninaloenda kulileta kwako.Ama kweli kuna vitu visivyozuilika,na uchungu   pia, upo katika “list” ya vitu visivyozuilika. “hivi kwanini nadondosha chozi?” nilijisemea na kujiuliza kwa muda,hatimaye “ ngoja nijikaze tu!” nilijipa imani nikiamini kuwa huu sio mwisho wasafari,huenda nami yakanikuta   “kama nilisimuliwa pia nimejionea kwa macho yangu,imetokea kuumia namna hii,je,si zaidi kama ikinitokea mimi la!”nilijisemea na kujiuliza pia.Gafla nilizikumbuka jumbe ambazo zimetikisa katika kichwa,nazo pia zipo ndani ya malengo niliyo nayo juu yako msomaji,nilianza kujipa tumaini kwa mbali nikiamini utaenda kukumbana na yaliyomengi ndani ya kijitabu hiki. “Hivi kwa nini ulimfanyia hivyo? Kipndi   chote hicho haukutambua kuwa   maisha yake umeyashikilia mikononi mwako? Umeridhika kuona anataabika na amepoteza mwelekeo na   di...